Kutangaza kwa Facebook
Wafikishe watu uwatakao na kuungana wateja halisi na shughuli yako.

Uungane na Watu Halisi
- Wafikishe zaidi ya watumiaji 300,000,000 wa Facebook.
- Ambatisha vitendo vya umma kwenye matangazo yako kuongeza mahusiko.
- Ongeza utashi wa bidhaa zako kwa kutumia matangazo husika.

Tunga Tangazo Lako la Facebook
- Unda upesi matangazo ya picha na ya maandishi.
- Advertise your own web page or something on Facebook like a Page or an Event.
- Choose to pay per click (CPC) or impression (CPM) in your local currency.

Boresha Matangazo Yako
- Fuata mwendeleo wako na ripoti za moja kwa moja.
- Ujue zaidi kuhusu wabonyezao tangazo lako.
- Fanya mabadaliko kuongeza matokeo yako.
Tumia dakika chache kukusanya vitu utakavyohitaji kuunda Tangazo lake la Facebook:

Kiungo
Amua kama unataka kutangazia tovuti yako au kitu kilichopo Facebook kama Ukurasa, Kitumizi, Kundi, au Tukio.
ujumbe wa Tangazo
Andika matangazo yaelewekayo na yaliyolengwa kutumia maandishi mafupi yaongeayo na watu utakaowafikisha. Kichwa cha habari kisizidi herufi 25, na yaliyomo yasizidi herufi 135.
Picha
Weka picha ivutiayo na ihusikayo kwenye tangazo lako ambalo linafaa kwa kitu au huduma iliyotangazwa. Picha itarekebishwa kukaa kwenye sanduku la 110px upana kwa 80px urefu.
Hatua ya 1: Unda Tangazo Lako

Pakia maundo vikiwemo kichwa cha habari cha tangazo lako (lisilozidi herufi 25 pamoja na nafasi) na maandashi yatakayokuwemo kwenye tangazo lako (yasiyozidi herufi 135 pamoja na nafasi) katika nafasi iliyopo. Uundapo tangazo lako, litaonyeshwa kwako.
Pia unaweza kupakia picha. Lakini hii ni hiari. Kwa taarifa zaidi kuhusu mbinu bora za picha, angalia MYM yetu.
Sasa amua kama unataka watu waongozwe kwa tovuti yako wewe au kitu kilichopo Facebook kama vile Ukurasa, Kitumizi, Kundi, au Tukio. Kama wewe tayari ni mtawala wa Ukurasa, Kundi, Tukio, au Kitumizi cha Facebook, unaweza kukichagua kutumia orodha inayoshuka chini.
In this step, you may also choose to precisely target by age, gender, location, and more. If you check the box, we will add content that notifies a user of their friends' interactions with your brand or business on Facebook. More information about social actions can be found katika MYM yetu.
Hatua ya 2: Kulenga
Walengee Watu Kwa:
- Mahala:
- Umri
- Jinsia
- Maneno Muhimu
- Elimu
- Mahala pa Kazi
- Hali ya Uhusiano
- Mapendeleo ya Mahusiano
- Lugha
Walenge watu kutumia machujio ya taarifa na mapendeleo ya watu halisi. Kabla ya kubadilishwa, Facebook inawalenga watumiaji wote walio na miaka 18 na zaidi katika mahala kwa kawaida. Lakini, unashauriwa kubadilisha mpangilio huu ili uwafikishe watu wahusikao zaidi na tangazo lako. Hakikisha kuwa umetaja idadi tarajiwa kupata kisio la idadi ya watu walio navyo vigezo vyako. Kwa taarifa zaidi, angalia MYM yetu kupata maelezo ya kila chujio la malengo.
Hatua ya 3: Kampeni na Bei
Ipe kampeni yako jina lakini kumbuku kwamba matangazo katika kampeni moja yatakuwa na bajeti moja ya kila siku na ratiba moja.

Sasa kwa kuwa umeandaa kampeni yako, weka bajeti yako ya kila siku na ratiba yako. Kiasi gani unataka kulipa kwa siku? Kiasi cha chini cha bajeti ni US $1.00 kwa siku. Sasa ratibu tangazo lako. Je, unataka kampeni yako ifululize kuanzia mara moja baada ya kukubaliwa tangazo au kuanzia tarehe maalum na kuishia tarehe maalum?
Amua kama untaka kulipa kwa mabonyezo au kwa kuangaliwa. Kwa taarifa zaidi kuhusu mbinu bora kwa kila aina ya kulipa, angalia MYM yetu.
Mwishowe, utataka kuthibitisha kiasi cha juu ulicho tayari kukilipa kwa kila bonyezo au kwa maburuzo 1000 kutegemea na jinsi yako ya kulipa. Kiasi kipendekezwacho cha kuzabuni kinaonyesha kiasi gani watangazao wengine wanalipa kuwafikishe watu uliowalenga. Kwa matokeo bora, uzabuni angalau kiasi cha chini kipendekezwacho.
Hatua ya 4: Pitia Tangazo Lako
Karibu umemaliza. Hatua ya mwisho ya taratibu ya kuunda tangazo ni kupitia tangazo lako. Pekua malengo, bajeti, na tangazo lenyewe ukitafuta makosa. Unaweza kurudi nyuma na kuvibadilisha vipengele vyovyote kwa kubonyeza "Badilisha Tangazo". Ukishapitia tangazo lako, ingiza taarifa ya kadi yako ya mikopo na kubonyeza "Weka Agizo". Matangazo yote yanapitishwa uthabiti wa ubora kabla hayajaonyeshwa. Matangazo yanapitishwa kuuhakikisha kuwa yametimiza masharti yetu ya yaliyomo. Tunapendekeza upitie: Mbinu Bora Zilizopendekezwa na Sababu Za Kukataliwa Zitokeazo Mara Nyingi.
Reach the Right People at the Right Time.

I have found [Facebook Ads] SO effective. My business wouldn’t be anywhere close to where it is today if it weren’t for Facebook, and the ads campaign.&mdash Chris Meyer, President
View CM Photographic PagePeople treat Facebook as an authentic part of their lives, so you can be sure you are connecting with real people with real interest in your products. Facebook Ads provided CM Photographic the ability to target their exact demographic — 24-30 year old women whose relationship status on Facebook indicated that they were engaged.
Original ad placedOver 12 months, CM Photographics generated nearly $40,000 in revenue directly from a $600 advertising investment on Facebook. Of the Facebook users who were directed to CM Photographics’ website from the ads, 60% became qualified leads and actively expressed interest in more information.
Flexible pricing and real-time suggested bids provide guidance for cost-effective ad campaigns.
StorQuest's Total Rentals

Facebook helped our client target a specific audience and offer a solution for their specific needs. Offering college students self storage right at the end of the semester with Facebook Ads helped StorQuest post record-breaking student occupancy rates.— Dan Hobin, CEO, G5 Search Marketing
View StorQuest's PageFacebook Ads makes it easy and cost-effective to quickly set up and manage your campaign. G5 found success setting up a series of Facebook Ad campaigns targeted to college students at 21 campuses prior to Summer break for StorQuest self service storage facilities. Real-time suggested bids for our auction-based system provided guidance that enabled G5 to hone ad effectiveness based on their various targeting filters (age, college level and location).
Original ad placedThe results from StorQuest's Facebook ad campaign were one of their highest performing online advertising efforts:
- Over 50% increase in same store total rentals versus prior year.
- 10% conversion rate from visits originating from Facebook Ads.
- On par with Google AdWords on a cost-per-lead and cost-per-customer basis.
- $1.25 CPC delivered $10.25 cost-per-lead.
- $100 average rentals; $600 average life time value per customer.
Combining marketing solutions on Facebook for a positive ROI.
Click Through Rate

To date, Facebook has been our best performing ad campaign online. It’s hard to beat the low cost of participation and uniquely engaged audience.— Damion R. Martin, PR & Marketing
View Nippon Airways PageWhen you have a broader presence on Facebook with Facebook Pages or Facebook Events plus ads for instance, you can turn your advertising message into a trusted referral by including content from a user’s friends who are already affiliated with your products. ANA took this approach by creating a Facebook Page to acquire interested users for ongoing messaging opportunities and developing a compelling advertising campaign. ANA used a creative grouping of keywords to target advertising to users specifically interested in traveling and Japanese culture and developed ad creative that resonated with their audience.
Original ad placedAverage campaigns for ANA result in CTR of 8 - 12%. Facebook Ads resulted in a 25% CTR. Conversions resulted in positive ROI which is unique for ANA considering their product is not an impulse purchase for most people and Japan is not traditionally seen as a leisure destination.