Maswali Maarufu
Discover ni programu ya wavuti ya vifaa vya mkononi ya Android unayoweza kutumia kuvinjari mtandao kwenye simu yako ya mkononi ukitumia data bila malipo kutoka kwa mtoa huduma wa simu anayeshiriki. Mtoa huduma wa simu anayeshiriki atakupa kiwango cha data bila malipo cha kutumia kila siku, wiki au mwezi.
Ili kutoa mpango endelevu na washirika wetu watoa huduma wa simu, Discover hutumia trafiki za kipimo data cha chini unapotumia data ya bila malipo. Vipengele vingine ikiwemo video, sauti, utiririshaji, uhamishaji faili au aina nyingine za trafiki zinazohitaji data nyingi havitumiki unapotumia data ya bila malipo, kama ilivyoelezwa katika Maelezo ya Kiufundi ya Discover. Unaweza kuchagua kutumia data ya simu inayonunuliwa kutoka kwa mtoa huduma wako ili kuvinjari video na sauti kwenye intaneti. Ili kuanza kutumia Discover, unahitaji kutumia kadi ya SIM kwenye simu yako kutoka kwa mtoa huduma anayeshiriki.
Kipengele hiki kinapatikana tu katika baadhi ya nchi.
Kipengele hiki kinapatikana tu katika baadhi ya nchi.
Huduma hii inapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Huduma hii inapatikana tu katika baadhi ya nchi.