Facebook Lite

Uzoefu wa haraka wa Facebook kwa Android.

Pakua
1.51 MB
Toleo hili la Facebook hutumia data kiasi na hufanya kazi kwenye hali zote za mitandao.

Facebook Lite:

  • Husakinisha haraka – programu ni ndogo zaidi, kwa hivyo ni rahisi kupakua na hutumia nafasi kidogo ya hifadhi.
  • Hufanya kazi katika simu za zamani za Android - unaweza kuitumia katika simu za zamani zaidi za Android zisizoauniwa na programu ya kawaida ya Facebook
  • Hutumia data kiasi - tumia data yako ya simu kwa ufanisi. Okoa pesa kwa kutumia data kiasi.
  • Hupakia haraka - ni programu yetu yenye kasi zaidi. Hupakia picha haraka na kuuona visasisho kutoka kwa marafiki.
  • Hufanya kazi kwenye mitandao yote - imebuniwa kwa mitandao ya 2G na maeneo yaliyo na miunganisho ya chini au isiyo thabiti ya mtandao.

Utangamanifu:

Android 2.2 au toleo la juu

Ilisasishwa Mwisho:

11 Desemba 2019